swahili.txt 4.9 KB

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120
  1. maswala ya umuhimu wa kitaifa, badala ya yale ya kibinafsi na vyama vya
  2. kwa vipindi vyao vya kila siku vya lugha ya Kiswahili.
  3. Rasta.
  4. SAITOTI, WAMALWA WAUNGA MKONO MAPENDEKEZO YA KATIBA
  5. ya teknolojia ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa viwango fulani vya masharti
  6. Katika hatua ya kihistoria ya kuonyesha uzalendo na uaminifu kwa taifa,
  7. Mombasa Bw Paul Olando, li wajadiliane naye juu ya swala hilo. Walisema
  8. kutaka kuwa mwanachama wa tume hiyo hadi wakati mkutano wa viongozi wa
  9. Wanawake wawili wanaoaminika walikuwa marafiki wa marehemu Bernard Matheri
  10. ya kikatiba katika County Hall.
  11. ingawaje harambee ni muhimu, baadhi ya watu wameigeuza kuwa njia ya kujipatia
  12. vijana Wakikuyu na kuwapatia pesa kutekeleza ghasia hizo. Hata hivyo,
  13. ya Majimbo akisema hilo ndilo suluhisho pekee la misukosuko ya kisiasa
  14. Aliyekuwa Rais wa Zaire, Mobutu Sese Seko alifariki jana usiku mjini
  15. zaidi kunakotokea michafuko. Wakati huo huo, washiriki kwenye semina
  16. Wakuu watatu wa sheria wa nchi za Afrika Mashariki mwishoni mwa wiki
  17. Serikali ya Burundi imejitolea kutafuta amani nchini humo kupitia mashauri
  18. kupigwa risasi nje ya jumba la Nyayo hapa Nairobi, alipokuwa akisindikiza
  19. mteja wake kuhusu ombi la kuachiliwa kwa dhamana. Bw Maitha, kupitia
  20. sheria ya kupigaji kura.
  21. katika ujenzi wa taifa.
  22. watoto elfu-2 ambao watafunzwa maarifa ya kimsingi kuhusu kazi kama vile
  23. Nairobi. Dkt Mwanzia alisema kwamba uchunguzi kabambe utafanyiwa sheria
  24. wanajaribu kuutumia mjadala juu ya mageuzi ili kuonekana kuwa wanahudumia
  25. taarifa kuhusu mageuzi ya kikatiba, zilizowasilishwa kwa kundi la wabunge
  26. huo utakuwa na manufaa makubwa kwa wakazi wa sehemu hiyo.
  27. kukatwa kwa laini zao.
  28. 1 ili kuishurutisha serikali kuwaongeza mishahara.
  29. katika ujenzi wa taifa.
  30. maafa ya Likoni. Askofu Njenga aliaambia waumini katika kanisa la Holy
  31. KIRDI YAFANYIWA MAREKEBISHO
  32. kuzuia baadhi ya magonjwa, yanayosababisha vifo hapa nchini. Aliwatahadharisha
  33. ambayo yangeweza kutibiwa kupitia juhudi za pamoja.
  34. na kundi la majambazi waliojiandaa vilivyo ambao lengo lao lilikuwa kuzusha
  35. marekebisho yanaoyoendelea kufanywa katika sekta ya utumishi wa umma.
  36. muda wa wiki mbili zilizopita.
  37. Bw Kathima pia aliwahimiza viongozi katika sehemu hiyo wahakikishe kwamba
  38. Chini ya idara mpya iliyofanyiwa marekebisho ya VAT , afisi za wilaya
  39. alisema ghasia hizo zitahusisha Waluo na Wakikuyu . Alidai kwamba majangili
  40. inayokabili nchi kabla ya kutekeleza tisho lao la kugoma mnamo Oktoba
  41. Walisema kile ambacho kundi hilo linafanya ni kwa manufaa ya taifa hili,
  42. makuu ya ushirikiano huo wakati wa mkutano huko Mombasa jana, kwa maandalizi
  43. hatua kali ya kutotoka nje ili wavamizi waweze kushikwa na kuadhibiwa,"
  44. Polisi jana waliua jambazi sugu, Bernard Matheri Thuo, au 'Rasta', kwenye
  45. wanajitakia makuu na nia yao tu ni kuimarisha vyama vyao vya kisiasa
  46. hizi tatu za Afrika mashariki.
  47. cha ukosefu wa nguvu za umeme wa mara kwa mara mjini Garissa.
  48. alishikwa mnamo Agosti 18 kuhusiana na uvamizi wa Likoni, Mombasa, jana
  49. uuzaji Profesa Karega Mutahi alipofungua warsha ya siku tatu juu ya Kiswahili
  50. riziki. Alisema mkoa wa magharibi unatarajia mavuno mengi kufuatia kunyesha
  51. upande wowote kama vile Ethiopia au Afrika kusini kwani uhusino wa hivi
  52. kuwachochea wafanye ghasia. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Daniel Kongo,
  53. yataungwa mkono na Wakenya wote wenye nia njama.
  54. wa tume ya uchaguzi, Jaji Zacchaeus Chesoni ambaye alikabidhi mpango
  55. katika Konjoga, wilaya ya Narok. Afisa tawala wa sehemu hiyo, Bw Nyule
  56. hawajakamatwa au kushtakiwa. Awali, Askofu Njenga alisoma taarifa iliyowekwa
  57. na mkurugenzi wa mipango, Dkt Kang'ethe Gitu wakati wa kufunguliwa rasmi
  58. sasa kati ya Burundi na Tanzania hauridhishi kuedelea na mashauri hayo.
  59. muda wa wiki mbili zilizopita.
  60. kabisa shughuli za kampuni hiyo. Arifa iliyowekwa katika lango kuu la
  61. Mkutano huo ulifunguliwa na msaidizi wa mkuu wa sheria jaji Aaron Ringera.
  62. Serikali imerejesha amani na utulivu katika mkoa wa Pwani lakini ingali
  63. kuhusu uandikishaji wa wajumbe kutoka matawi yao. Bw Kamotho aliongeza
  64. KAMATI ZA IPPG KUTOA RIPOTI JUMANNE kamati tatu za kiufundi zilizochaguliwa
  65. "Baadhi ya wabunge hao wanajua vyema kwamba hawana ufuasi na ndiposa
  66. wakisaidie chama hicho kifedha.
  67. Westlands kwa tikiti ya Ford Asili katika Uchaguzi Mkuu ujao amesema
  68. pia ilipendekeza serikali itoe ulinzi kwa wagombezi wote wa kiti cha
  69. na akashangaa kwa nini Wakenya fulani wanapinga serikali kama hiyo.
  70. ibada hiyo ni maafisa wakuu wa serikali kama vile Mkuu wa Sheria, Bw
  71. Katika mkutano na waziri wa elimu, Bw Joseph Kamotho,ambaye alitangaza
  72. mari ambazo hazina faida na ambazo haziwezi kuleta mabadiliko katika
  73. la lazima umesaidia kurahisisha mawasiliano kati ya maafisa wa serikali
  74. wa kitaifa John Katumanga walitoka nje wakilalamika kwamba kamwe hawatakubali